YAOYAO BAJAJ 6KW
NGUVU KUBWA. UTEKELEZAJI BORA. Motor yenye nguvu ya 6KW - kama SGR, hakuna kifani kwa bajaji bongo!
Why Choose YAOYAO BAJAJ?
-
Safari Ndefu, Hamna Wasiwasi
Betri yenye uwezo mkubwa wa 200KM kwa chaji moja kamili. Inadumu kwa muda mrefu na huchaji haraka.
-
Nguvu Kubwa - 6KW Motor
Motor yenye nguvu ya 6KW - Inapanda milima kwa urahisi na haivunjiki kasi. Nguvu kama SGR!
-
Kafuta Emission
Usafiri safi, wa kimazingira na wa kiuchumi. 100% Electric. Hakuna mafuta, hakuna moshi.
-
Imara na Ya Kuaminika
Imejengwa kwa teknolojia ya kisasa kwa safari ndefu. Usalama wa juu na uimara wa hali ya juu.
